Wednesday, December 4, 2013

PICHA ZIKIONYESHA WASHIRIKI MBALIMBALI KATIKA MDAHALO WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KANDA YA KATI ULIORATIBIWA NA AFNET KWA KUSHIRIKIANA NA DAWATI LA POLISI LA KUZUIA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA WATOTO

 mkurugenzi wa AFNET TANZANIA SARA MWAGA akifafanua jambo katika mdahalo huo.

 muwakili wa dawati la jinsia na unyanyasaji wa jeshi la polisi dodoma ASP HAMIDA HIKI akitoa mada ya kazi ya dawati ndani ya jeshi la polisi.
 baadhi ya washiriki wa mdahalo huo wakisikiza mada kwa makini
 washiriki kutoka mikoa mbalimbali ya kanda ya kati wakiwa katika mdahalo huo
DR JANUARIUS HINJU kutoka hospital ya mkoa wa dodoma akiwasilisha mada ya unyanyasaji wa kijinsia katika mdahalo huo
 washiriki wakisikiliza kwa makini
 meza kuu ya watoa mada
baadhi ya washiriki.
PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment