Sunday, December 8, 2013

FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA NMB KONGWA NA MPWAPWA ILIVYOFANA KATIKA HOTEL YA ROYAL VILLAGE DODOMA

 meneja wa NMB wilaya ya kongwa bwana THOMAS MAGARI akiwaasa wafanyakazi kuzijali familia zao majumbani,
 meneja wa NMB wilaya ya mpwapwa HERMAN MASUKI naye akitoa nasaha zake kwa wafanya kazi.
 mmoja wa wafanyakazi wa NMB MALAKI MANDI(kushoto) akisakata rhumba katika sherehe hiyo
 picha ya pamoja ya wafanyakazi wa NMB matawi ya kongwa na mpwapwa wakiwa na familia zao.
 wafanyakazi wa NMB wilaya ya mpwapwa wakiwa kwenye picha ya pamoja
 washindi wa kuvuta kamba kutoka NMB kongwa wakifurahia ushindi wao
 hapa wafanya kazi wakisakata kwaito
 "kazaneni wanangu ushindi ni wetu"kauli ya meneja wa NMB wilaya ya kongwa aliyoitoa wakati vijana wake wakivuta kamba.
 kongwa wanaume wakifurahia ushindi wa kuvuta kamba.
 hapa wakicheza mchezo wa kufukuza kuku
 kuvuta kamba wanawake
mtoto asha akiwa tayari ameshajihakikishia kitoweo baada ya kukamata kuku katika mchezo wa kufukuza kuku.

PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment