Tuesday, December 3, 2013

AJALI YA KUTISHA GARI LAGONGA TRAIN DODOMA NA KUHARIBIKA VIBAYA.

Askari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya
kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya
Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini ajili hiyo
imetokea leo saa 11;30  katika barabara ya Dodoma Iringa.
Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa
limehalibika vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele
iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa.
barabara ya iringa Dodoma
Wananchi wa manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni
likiwa limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya na
huku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.


No comments:

Post a Comment