Wednesday, December 11, 2013

NAM COMPANY LIMITED YAZIDI KUINUA WAKULIMA DODOMA KWA KUTOA MIKOPO YA MATRACTOR KWA BEI NAFUU.

 afisa mtendaji wa TCCIA dodoma FRED AZALIA( kulia)akimkabidhi funguo za tractor bwana JUMA MKUMBA MAGUTA kutoka singida katikati ni mkurugenzi mtendaji wa NAM BW ASPENAS MAGINA NG'ARANGAakishuhudia tukio hilo.
 mgeni rasmi akifafanua jambo kabla ya uzinduzi huo kushoto ni katibu muhtasi wa kampuni hiyo DELFINA MVUNGI
 mmoja wa wakulima akifurahi baada ya kukabidhiwa tractor lake tayari kwa kuondokana na kilimo cha mkono na kuingia kwenye kilimo cha kisasa.
                                             wakulima wakiwa katika picha ya pamoja
                                     kila mkulima sasa na tractor lake tayari kwa safari ya shambani

No comments:

Post a Comment