Thursday, December 26, 2013

TAMASHA LA CHISTMAS DODOMA LILIOANDALIWA NA LIBERTY PROMOTION COMPANY LAFANA KWA KIASI KIKUBWA NA KUKONGA MIOYO YA WATAZAMAJI

Beatrice William [BSS 2011] Jembe la Yesu akilima ktk jukwa la tamasha
lililowakutanisha waimbaji kibao katika tamasha la krismas mkoani
Dodoma.
Jesca Nyange na kundi lake akiwaimbia wananchi wa mkoa wa Dodoma
katika tamasha la krismas lililofanyika katika uwanja wa jamhuri
Jubilee Lugobo toka jijini Dar es laam akitawala jukwaa ndani ya
viwanja vya jamhuri Dodoma katika tamasha hilo
Tumsifu Lufutu [NABII MUSSA]  toka nchini kenya akiwaongoza mashabiki
wa wa nyimbo za injili kuelekea kaanani ndani ya viwanja vya jamhuri.
Lusekelo Mwandiga wa Dodoma akicheza wakati wa tamasha la Krismas jamhuri
Mary Sinkala Chotala wa Kisomali akionyesha uwezowake kwenye tamasha
la krismas Dodoma.

                                                       mgeni rasmi
Mgeni Rasmi Kwenye tamasha la krismas lililofanyika Dodoma Anton
Mavunde akisalimiana na Mchungaji Komba [punda wa yesu] alipokuwa
akiingia katika uwanja wa jamhuri kuhudhuria tamasha hili
Mdhamini wa tamasha la christmas Stivin Masangia akifafanua jambo
wakati alipokuwa akizangumza na mashabiki waliohudhuria katika uwanja
wa jamhuri dodoma
                                                 talented gospel choir wakiwa jukwaani.


No comments:

Post a Comment