Thursday, January 31, 2013

ZIARA YA KINANA WILAYANI KAKONKO MKOANI KIGOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa daraja la Umoja linalounganisha Kata ya Nyabibuye, Kakonko na vijiji jirani vya Burundi. alipokuwa katika ziara wilayani Kakonko mkoani Kigoma, Januari 30, mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua soko la Kata ya Nyabibuye, Kakonko leo Januari 30, 2013, ikiwa ni ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma. Kushoto ni diwani wa kata hiyo Steven Mnigakiko na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kakonko Peter Toima.
  Wananchi wa rika zote wa Kijiji cha Rumashi, Kata ya Nyabibuye, wilayani Kakonko, Kigoma wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Januari 30, 2013,katika  kijiji hicho, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Rumashi, Kata ya Nyabibuye, wilaya ya Kakonko mkoani  Kigoma, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma.
 Kinana akiwasalimia wanafunzi wa shule hiyo ya Nyamtukuza wilayani Kakonko mkoani Kigoma, akiwa katika ziara ambayo ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma. Kulia ni Mkuu wa shule hiyo Amani Ntibakiza.
 Kinana akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo ya Nyamtukuza wilayani Kakonko mkoani Kigoma, akiwa katika ziara ambayo ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa shule ya sekondari ya Nyamtukuza wilayani Kakonko mkoa wa Kigoma,  akiwa katika ziara ambayo ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu inayoambana na maadhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma.
 Daraja la Umoja linalojengwa kuunganisha Kata ya Nyabibuye, Kakonko Tanzania na mkoa wa Changuzo Burundi.

No comments:

Post a Comment