Tuesday, January 15, 2013

UDOM NOMA SASA HIVI . HAYA NI MAJENGO YA KITIVO CHA SAYANSI

 Hosteli za Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kama vinavyoonekana Unapokuwa katika Kitivo Cha Mawasiliano ya Kompyuta Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
Baadhi ya Hosteli za kitivo Cha Mawasiliano ya Kompyuta Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

No comments:

Post a Comment