Friday, January 11, 2013

filikunjombe aitaka serikali kuwajibika liganga na mchuchuma


444b 442b8

Na Bazil Makungu Ludewa
MBUNGE wa Ludewa katika Mkoa wa Njombe Deo Filikunjombe ameitaka
serikali ya Tanzania kutimiza wajibu zake kwa kutekeleza mkataba na
makubaliano yaliyoingiwa kati yake na wawekezaji walioko Liganga na
Mchuchuma ili kuwezesha miradi hiyo kuanza kwa wakati.
Filikunjombe aliyasema hayo jana alipotembelea maeneo ya uwekezaji ya
Liganga na Mchuchuma kujionea mwenyewe hatua iliyofikiwa na wawekezaji
hao na kupokea changamoto zinazodhoofisha kasi ya kuanza utekelezaji
wa machimbo hayo yanayosubiriwa na kwa hamu na watanzania wengi

No comments:

Post a Comment