Sunday, January 6, 2013

MWANACHUO WA UDOM DODOMA AKUTWA KALALA BAR ASUBUHI AKIWA BWIIIIIIIIIIIIII

Mwanachuo mmoja  amekutwa na camera za mtaani akiwa hoi baada ya kugida mipombe bila kula msosi. jamaa huyu alikuwa na washkaji zake ambapo wote walikuwa wamelewa na kukosa msaada baada ya kuwa hakuna wa kumsaidia mwenzake sababu wote walikuwa hoi:


chanzo cha habari kilituhabarisha kuwa jamaa alikuwa akinywa pombe kali na pia chanzo chetu cha habari hakikufanikiwa kupata jina la jamaa huyu aliyekuwa hajitambui>

No comments:

Post a Comment