Thursday, January 31, 2013

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA IKULU, AMSINDIKIZA MGENI WAKE LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kabla ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza  Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wakati akiondoka Ikulu Dar es Salaam, jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza  Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii ya Januari 30. 2013. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment