Tuesday, January 8, 2013

JK AFUNIKA IGUNGA MAELUFU WAMPOKEA

 Rais Jakaya Kikwete, akiwasalimia wananchi wa Igunga mkoa wa Tabora, wakati akiondoa eneo hilo baada ya kuwahutubia wananchi hao jana.
 Rais Jakaay Mrisho Kikwete akihutumia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.
 Sehemu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa Rais Jakaya jana, mjini Igunga.
 Hotuba....
 Hotuba....
Wananchi wakimsikiliza Rais Jakaya.

No comments:

Post a Comment