Thursday, January 31, 2013

WANANCHI WA WILAYA YA KILWA LINDI, WAANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA GESI ASILIA


Mkuu wa wilaya ya Kilwa Abdallah Ulega, (kushoto) akishuhudia zoezi la utiaji wa sahihi wa mkataba huo wa miaka mitatu kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Addo Mapunda akitiliana saini na  Mratibu wa Mradi wa mpango wa ufundishwaji wa Lugha ya Kingereza kwa njia ya teknorojia ya kisasa (Techonoroji Enhanced Edcation) TEE-TZ chini ya ufadhili wa kampuni ya Pan African Energy,inayojishughulisha na kazi ya uchimbaji,usambazaji na uuzaji wa gesi asilia ya Songosongo Bi Anne Devilliers, wakati wa hafla hiyo fupi ya kutiliana saini iliyofanyika leo.

Makabidhiano

No comments:

Post a Comment