Friday, January 11, 2013

OMBAOMBA ALIEJIFANYA MLEMAVU ATIMUA MBIO BAADA YA KUGUNDULIKA SIO MLEMAVU

yet



Baada ya kugundua wananchi wamemshtukia baada ya kumhoji maswali na kushindwa kujibu aliamua kutimua mbio kukwepa kamera ya Francis Godwin isimpate picha yake, kama unavyomuona hapo mdau mguu gafla umetokea kimiujiza pamoja na mkono, yote hiyo alikuwa ameificha kwa kutumia koti lake na Suruali alizovaa

No comments:

Post a Comment