Saturday, May 3, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA WIKI YA ELIMU KITAIFA YANAYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.

Katibu wa Chama cha walimu Dodoma Gerge Palapala akimfafanulia jambo
Waziri Mkuu Mzengo Pinda alipotembelea Banda la chama hicho lililopo
katika viwanja vya Jamhuri kwa ajili ya maonyesho ya elimu
yanayofanyika kwa wiki moja mjini Humo.
Mratibu wa taifa wa masomo ya Sayansi, Hisabati na Tehama   DKT Elia
Kibga akimufafanulia jambo Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipotembelea
Banda la Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi wakati wa uzinduzi wa
wiki ya Elimu inayofanyika kiataifa Dodoma
Mwanafunzi Mandela Mazengo [9] mwenye ulemavu wa macho akimuandikia
neno kwa kutumia kifaa maalum kinachoandika maandishi yanayoweza
kusomwa na wasioona kwa njia ya vidole wakati alipotembelea Banda la
shule ya wasioona ya Bwigili Iliyop Chamwino Dodoma, Pinda alifika
kuzindua wiki ya elimu iliyoanza Aprl 3,2014 yanayofanyika kitaifa mkoani humo
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwauliza baadhi ya wanafunzi waliofika
kwenye uzinduzi wa wiki ya elimu uliofanyika katika uwanja wa jamhuri
ambao unafaika kitaifa mkoani Dodoma, kama wana uelewa kuhusu neno Big
results now akiwa na maana ya matokeo makubwa sasa kielimu.

PICHA NA JOHN BANDA.


No comments:

Post a Comment