Tuesday, May 20, 2014

SAFARI YA MWISHO YA MSANII ADAMU PHILIP KUAMBIANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS KINONDONI.





Waziri wa Habari, Fenella Mukangara, akiwasili kwenye Viwanja vya Leaders club Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuaga mwili ya marehemu Adam Kuambiana, aliyekuwa msanii wa Bongo Movie, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita. 
Jikate Mwegelo akiwa ni miongoni mwa waombolezaji....katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni leo mchana.
Wema Sepetu na Aunt Ezekiel na wenzake wakiwa na majonzi.






No comments:

Post a Comment