Sunday, May 11, 2014

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Ghalib Bilal
akiwa na moja ya tuzo zilizotolewa kwa walimu wa Shule zilizofanya
vizuri katika Elimu 2013 wakati wa kilele cha wiki ya Elimu, Kushoto
ni Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dkt Shukuru Kawambwa na Kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi.


Mshaili wa  sanaa ya Rugha katika Muziki Mrisho  Mpoto na Banana Zoro
wakitoa Burudani katika kilele cha wiki ya Elimu iliyofanyika Kitaifa
Mkoani Dodoma.

Wanafumnzi shule za msingi na Sekondari wakiwa majukwaani na mabango
yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya
Elimu yaliyofanyika Dodoma.

PICHA NA JOHN BANDA



No comments:

Post a Comment