Tuesday, January 7, 2014

MWANAMKE ANASWA NA SEMBE UWANJA WA NDEGE AKIELEKEA CHINA.

Mwanamke mmoja akiwa na hati ya kusafiria

AB548424 aliefahamika kwa jina la  Salama Omary Mzala (30) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salam, aliekamatwa akiwa amemeza pipi 67 za dawa aina ya heroine.


Vyombo vya usalama  Kumtilia shaka na kuweza

kufuatilia hadi katika ndege aliotakiwa kupanda ya

Ethpoia Airline  tayari kwa kuelekea Maccau Nchni  China na kumuweka katika ulinzi ambapo kwa mujibu wa taaarifa toka kwa kamanda wa kikosi cha kuzuia na kupamabana na dawa za kulevya nchini


Godfrey Nzowa hadi kufikia saa 7.30 mchana

No comments:

Post a Comment