Monday, September 1, 2014

MAKOMANDOO WA NEPAL WAKIMLINDA KOMANDOO WA KINYARWANDA ANAEISHI KINYUME NA SHERIA NCHINI

Mmoja kati ya Makomandoo kutoka nchini Nepal, waliokuwa wakilinda nyumba ya Raia wa Rwanda, Sidhee Bahadur katuwal, akionesha banda la mbwa waliokuwa wakiwatumia kulinda nyumba ya Mrwanda huyo waliyokuwa wakiilinda kupitia Kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security. Nyumba hiyo ipo karibu na  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
 Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na mnyarwanda huyo anayeelezwa kuwa alikuwa akiishi nchini kinyume na utaratibu, huku alindwa na Makomandoo kutoka Nepal
 Baadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo

No comments:

Post a Comment