Friday, September 5, 2014

HUU NI UDHALILISHAJI KWA WATOTO HAWA ANGALIA MAZINGIRA MAGUMU YANAYOHATARISHA AFYA ZA WANAFUNZI HAWA WANAOSOMA SHULE YA MSINGI MAKULU DODOMA

Huu ni muonekano wa  Choo kinachotumiwa na wanafunzi wa shule
ya msingi Dodoma Makulu iliyopo manispaa ya Dodoma hali inayotishia
afya za wanafunzi kutokana na hufu ya mlipuko wa magonjwa ya
kuambukiza yakiwemo kipindupindu kutokana na uchafu.
Wanafunzi wa Darasa la tatu wa shule ya msingi Dodoma Makulu
wakiendelea na masomo huku wakiwa wamekaa chini, Shule hiyo imekuwa na
tatizo la k,utokuwa na madawati kuanzia ilipojengwa mwaka 1954, kwa
sasa ina wanafunzi 1480 ikiwa na vyumba vya madarasa 9 yanayotumika.

PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment