Saturday, September 6, 2014

BREAKING NEEEWZ!!!!!! WATU 40 WAPOTEZA MAISHA PAPO HAPO 79 WAJERUHIWA AJALI YA BASI MKOA WA MARA .

 Habarizilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa watu wapatao 36 wamepoteza maisha na wengine 79 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la J4 Express lenye namba za usajili T 677 CYC lililogongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach lenye namba za usajili T 736 AWJ eneo la Kiabakari Sabasaba Darajani katika barabara ya Mwanza Musoma, Mkoani Mara leo mchana.
Miili ya watu waliokufa katika ajali hiyo.

Miili ya watu waliokufa katika ajali hiyo iliyohusisha mabasi mawili, majeruhi wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment