Friday, September 26, 2014

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ya ahidi kujenga chumba cha Maabara katika shule ya sekondari ya Viwandani manispaa ya Dodoma

Mgeni Rasmi kwenye Mahafari ya 6 ya kidato cha Nne ya Shule ya
Viwandani Sekondari Meneja Masoko wa Airtel Kanda ya kati Anthony
Msanga akitoa cheti kwa mmoja wa wahitimu wakati wa mahafali hayo

Meneja Masoko wa kampuni ya Simu za mikononi ya Airtel Anthony
Msanga akitoa hutuba kwenye mahafali ya sita ya wanafunzi wa kidato
cha nne katika shule ya sekondari ya Viwandani, walioka kulia ni Mkuu
wa shule hiyo Zainab Rajab na Mwenyekiti wa Bodi ya shule Oliver
Masangia.
Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya
Viwandani manisapaa ya Dodoma wakiwa katika mahafari hayo.
Mkuu wa Shule ya Viwandani Sekondari  manispaa ya Dodoma Zainab
Rajab akisoma taarifa ya shule hiyo kwenye mahafari ya 6 ya kidato cha
Nne yalihusisha wahitimu 115.

PICHA NA JOHN BANDA


No comments:

Post a Comment