Thursday, September 18, 2014

POLISI DODOMA WAIMARISHA ULINZI KUHAKIKISHA CHADEMA HAWAPITI POPOTE KATIKA MAANDAMANO YAO.

Polisi wapanda farasi wakiimalisha ulinzi katika viwanja vya nyerere
Squere ambapo Chadema wamepanga kuanzia maandamano kuelekea bungeni.

Askali polisi wakiwafanya mawasiliano kwenye gari lao ambalo lilikuwa
limepakia mbwa kwa ajili ya kuimalisha ulinzi katika viwanja vya
Nyerere Dodoma kwa ajili ya kuwazuia waandamanaji wa Chadema walipanga
kuandamana kwenda Bungeni.

Polisi wakiwa wamefunga kamba kati barabara ya mzunguko ya stendi kuu
ya mabasi yaendayo mikoani na chuo cha biashara CBE  kwaajili ya
kuwazuia waandamanaji hao waliopanga kwenda Bungeni.

picha na john banda

No comments:

Post a Comment