Friday, September 5, 2014

KAMPENI ZA AFYA YA WANAUME KUFANYIKA JUMAMOSI KATIKA VIWANJA VYA NYERERE SQUERE DODOMA

Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Dodoma Festo Mapunda akifafanua jambo
wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi wa
afya ya Wanaume unaoendeshwa chini ya Shirika la Misaada la Japani
[JICA] katika manispaa ya Dodoma.
Mwakilishi wa shirika la Misaada la Japani [JICA] Dkt TANAKA AYUKO
akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa manispaa ya Dodoma
umuhimu wa Afya ya Mwanaume, kampeni za Afya kwa wanaume zitafanyika
kesho katika viwanya vya nyerere Squere.

PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment