Sunday, February 16, 2014

UONGOZI WA UDOM WALALAMIKIWA NA WAENDESHA BODABODA KWA KUWAPIGA MARUFUKU KUFANYA BIASHARA HIYO KATIIKA ENEO LA CHUO.


Mmoja wa viongozi wa waendesha Bodaboda wanao toa huduma ya usafiri
ndani na n je ya chuo hicho  akiwagawia funguo za pikipiki zao baada
ya jana kutotoa huduma hiyo kwa zaidi ya saa 7 wakijadili nini cha
kufanya baada ya kutakiwa kutopakilia abiria katika kituo hicho
kilichopo chuo cha elimu ndani ya UDOM Dodoma.

Madereva wa Bodaboda wakiwa wamekusanyika pamoja wakijadiliana jambo wakati wakifikili nini cha kufanya baada ya kuona askari walinzi wa
chuo kikuu cha Dodoma [ UDOM]  Kuwafukuza na kuwataka kutopakilia
Abiria katika kituo hicho kilichopo katika majengo ya mchepuo wa
elimu.

Waendesha pikipiki za kusafirishia abiria maarufu kama Bodaboda wakuwa
wameziegesha  katika kituo cha Daladala cha maktaba ya ualimu
kilichopo Chuo kikuu kikuu cha Dodoma [UDO], madereva hao
wamelalamikia kunyanyaswa na walinzi chuoni hapo kwa kukamatwa na
kutishiwa kuvunjwa miguu bila sababu za kueleweka.


No comments:

Post a Comment