Sunday, February 23, 2014

MKANDARASI MATATANI KWA KUJENGA BARABARA KWA KIWANGO CHA CHINI DODOMA.


Gari likionekana kujarib kupita bila mafanikio  katika barabara
inayonganisha vijiji sita vya wilaya ya Bahi, adha hiyo ya usafiri
imetokana na kujengwa kwa kutumia udongo mifinyanzi katika kijiji cha
Tobai.

Shimo lililochimbwa na kikata barabra ya Lukali kongogo  kwa
ajili ya kutengenea karavati bila kuwa na njia mbadala hali
iliyosababisha adha kubwa kwa usafiri  huku mkandarasi wa ujenzi wa
huo akijiojitetea kutosubili ili kukwepa hasara kwa kampni yake.

Gari la mizigo likiwa limekwama katika barabara hiyo
inayojengewa karavati kwa kufungwa bila kuweka njia mbadala kwa ajili ya
safiri kutokana njia kuwa moja na kutumika na wananchi wa vijiji zaidi
ya sita huku mhandisi wa Wilaya ya Bahi Josephu Mkinga akiifunga kwa
masaa 48 ili kupisha ujenzi huo.

No comments:

Post a Comment