Friday, February 14, 2014

BANK YA ACB DODOMA YAWEZESHA MAFUNZO YA UJASILIA MALI KWA WAJASILIA MALI ZAIDI YA 1000 YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA POLISI JAMII DODOMA.


Wajasiriamali mkoani Dodoma wakishangilia jambo walipokuwa katika
ukumbi  wa polisi jamii walipokuwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa
vitu mbalimbali kwa kutumia mikono, ikiwemo Batiki, keki, ubuyu, krips
na usindikaji wa vyakula na matunda yaliyoandaliwa na Kampuni ya
Wajasriliamali kwanza Entarprises ya jijini Dar es laam na kudhaminiwa
na Benk ya wajasriamali Tanzania [ACB]
Mkurugenzi wa kampuni ya Wajasiriamali kwanza DKT Didas Lunyungu
akifafanua jambo wakati alipokuwa azunguza na wajasiriamali wa mkoa wa
Dodoma walioshirikai mafunzo ya utengenezaji na usindikaji wa bidhaa
mbalimbali yaliyofanyika kwa siku 4.
Meneja wa kampuni hiyo Saravai Izinah akimtamburisha Meneja  masoko wa benki ya wajasiriamali Tanzania Inocent Ishengoma [ACB] ambao ndiyo
waliokuwa wadhamini wakuu wa mafunzo hayo yaliyodumu kwa kwa sik4 nakujumuisha wajasiriamali 1000 walishiriki wa mkoa wa Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma DKT Rehema Nchimbi akiwa katika picha ya amoja na wafanyakazi wa kampuni ya wajasiriamali kwanza waliokuwapokuwa wakiwafundisha wajasiriamali wa Dodoma namna ya kutengenezana kusindika bidhaa mbalimbali.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma DKT Rehema Chimbi akizungumza na wajasiriamali wa mkoa huo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya siku 4 yaliendeshwa na Kampuni ya wajasiriamali kwanza kwa udhamini wa  Benki ya akiba[ACB].
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma DKT Rehema Nchimbi akimkabidhi meneja msaidizi wa benki ya wajasiriamali Tawi la Dodoma Christine Wachona cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wajasiriamali ambao pia walikuwa wadhamini wa mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 4.

PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment