Friday, February 14, 2014

STEPHEN WASIRA NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI YA CCM MJINI DODOMA.


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi,Wassira aliwaeleza waandishi kuwa hakukuwa na tuhuma juu yake.
.

No comments:

Post a Comment