Monday, February 3, 2014

TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI DODOMA.

Wakili wa kujitegemea Mary Munissi wa mkoani Dodoma akielezea jambo wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyika leo
Mahakimu, Mawakili na watendaji wengine wa mahakama wakifuatila jambo walipokuwa kwenye maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyika leo Dodoma.

                                                               PICHA YA PAMOJA

Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Dodoma akizungumza jambo na Kaimu mkuu wa mkoa wa Dodoma ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa singida Pasiseko Konne mara baada ya kumalizika shughuli za maadhimisho ya siku ya sheria leo
Wakili  wa Serekali Mfawidhi mkoa wa Dodoma Angaza Mwaipopo akifafanua jambo wakati wa sherehe za siku ya sheria zilipokuwa zikiendelea mjini mkoani Humo leo
PICHA NA JOHN BANDA
Jaji Mfawidhi wa mhakama kuu kanda ya Dodoma Crecensia Makuru akizangumza jambo mbele ya watendaji na wadau wa mahakama wakati sherehe za siku ya Sheria zilizofanyika leo.

No comments:

Post a Comment