Wednesday, April 16, 2014

MAJAMBAZI WAKOMBA FUKO LA FEDHA KATIKA BANK YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI KWEUPEEEE.

Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja. Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola

No comments:

Post a Comment