Monday, June 17, 2013

KAMPUNI YA STEPS YAFANYA KWELI YAKABIDHI TUZO ZA BONGO MOVIE.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki, akimkabidhi tuzo msanii bora wa kiume katika tasnia ya filamu nchini, Jacob Stevin 'JB' wakati wa hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudhuliwa na wasanii kibao wa nchini, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Kampuni ya Steps kuandaa tuzo hizo zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.
Mzee Majuto,  akipokea Tuzo ya msanii bora wa uchekeshaji.
Msanii Stive Nyerere, akipokea Tuzo.
Msanii Nice Mohamedi 'Mtunis' akipokea tuzo ya Mwaka 2012 zilizoandaliwa kwa mara ya kwanza na kampuni ya Steps Entatainment.

No comments:

Post a Comment