Thursday, June 6, 2013

HAPA WAKAZI WA MOROGORO WAKIWA TAYARI KUUGA MWILI WA ALBERTY MANGWEIR UWANJA WA JAMHURI.


Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro.Utaratibu huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya maziko
Umati mkubwa wa wakazi wa morogoro waliojitokeza katika zozi za kuwaga mwili wa msanii huyo mchana huu kabla ya maziko yake leo.Endelea kupitia audifacejackson blogspot.Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa

Umati mkubwa wa watu uliokuja kutoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Albert Mangwea

No comments:

Post a Comment