Thursday, August 7, 2014

BREAK NEWSSSSSSSS: BASI LA ABOOD LAPATA AJALI.




Habari zilizotufikia punde, basi la Kampuni ya Abood lililokuwa lilisafiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Tunduma mkoani Mbeya, limepata ajali katika Wilayani Mufindi, mkoani Iringa.
Japo bado idadi ya waliojeruhiwa haijajulikana, lakini wamekimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Mufindi kwa ajili ya matibabu zaidi. Ajali hiyo imetokea Majira ya saa 10 jioni

No comments:

Post a Comment