Thursday, August 7, 2014

BAADHI YA WAJUMBE WA UKAWA WASALIMU AMRI, WATINGA BUNGENI.



Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Leticia Nyerere akitoka kujisajili kwenye orodha ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma jana. Mbunge huyo ambaye chama chake kinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi kimejitoa katika utungaji wa katiba mpya. Kulia ni  mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani leo mjini dodoma akiuka miiko ya ukawa picha akiwa viwanja vya bunge mara baada ya kujisajili

No comments:

Post a Comment