Thursday, November 20, 2014

MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA NGONO KATI YA MABOSI NA WATENDAJI WA CHINI.

 Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo
akizungumza katika semina hiyo.
 Wajumbe waliohudhuria warsha ya kutafuta namna ya kukomesha Rushwa ya
ngono maofisini kati ya mabosi watendaji wa chini ikiwemo vyuoni na
mashuleni iliyoandaliwa na chama cha majaji wanawake Tanzania [TAWJA]
iliyofanyika Dodoma
                                      wajumbe wakiwa katika mkutano huo
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa
akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na
Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa
chini iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania [TAWJA].
Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa, Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake
Tanzania Jaji Engera Kileo na Ofisa Miradi wa UN woman Programe Ofice
Cralissa Berg wakifurahia jambo wakati wa mapumziko mafupi ya semina
ya kutafuta ufumbuzi wa kutokomeza Rushwa ya ngono iliyoandali na
TAWJA.

PICHA NA JOHN BANDA


No comments:

Post a Comment