Saturday, April 13, 2013

MABIBO BEER WASISITIZA KUENDELEA KUKAMATA WAINGIZAJI WA BIA YA WINDHOEK KIMAGENDO

                                      Mkurugenzi wa  Mabibo Beer Wines & Spirits (Mrs Benedicta Rugemalira) akisisiza jambo kuhusu uuzwaji wa bia ya Windhoek yenye nembo ya MB66 katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi zao zilizopo katika jengo la The Arcade

 Mshauri wa Kimataifa wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines & Spirits akisisiza jambo kuhusu uuzwaji wa bia ya Windhoek yenye nembo ya MB66 katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi zao zilizopo katika jengo la The Arcade. Pia na kuomba ushirikiano na vyombo husika kuendelea kukamata waangizaji wa bia ya Windhoek ya Magendo na kusisitiza kuwa bia halari ni yenye nembo MB 66

No comments:

Post a Comment