Barcelona
wakiwa kwao Nou Camp, huku mkali wao Lionel Messi akianzia benchi
kurudiana na Paris Saint-Germain katika Mechi ya pili ya Robo Fainali ya
UEFA CHAMPIONS LEAGUE,
Mchezaji wa PSG akimkaba sawasawa Fabregas
Wachezaji wa Barclona wakizuia baada ya Ibrahimovic kuwasimamia kidete
Pastore akiendesha kwenda kufunga bao dakika ya 50 kipindi cha pili
Pastore akiwaacha hoi mabeki wa barcelona pamoja na kipa Valdes kufunga bao

Pastore baada ya kufunga bao
Pastore akikumbatiwa na wachezaji wenzi baada ya kuwatangulia bao Barca
No comments:
Post a Comment