Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana .
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Adam Kimbisa.
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Khamis Sadifa Juma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Octavian Kimario .
mkereketwa na mhamasishaji mkuu wa ccm mkoa wa dodoma bi bushura kitwana akimlaki mh rais jakaya kikwete alipowasili katika uwanja wa ndege mkoa wa dodoma tayari kwa kuongoza vikao vya chama hicho.
No comments:
Post a Comment