Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitoa salamu maalum za Sikukuu ya Iddi baada ya Swala
iliyofanyika Kitaifa Mkoani Tabora katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal (wa sita kutoka kulia), akishiriki na waumini wa dini ya Kiislamu
katika Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa
Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya
Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Mkoani Tabora leo.
Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya
Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan
Mwinyi, Mkoani Tabora leo.
Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala
ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan
Mwinyi, Mkoani Tabora leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya
Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Mkoani Tabora leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya
Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Mkoani Tabora leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya
Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Mkoani Tabora leo.
No comments:
Post a Comment