Mratibu Mwandamizi wa shirika lisilo la kiserekali la Social
Action Trast Fund [SATF] Nelson Rutabanzibwa akifafanua jambo alipokuwa
akifungua Malumbano ya hoja kwa wananafunzi wa Shule za Sekondari za Miyuji,
Makutupora na Hombolo, Mada ikiwa Umasikini ni chanzo cha vijana wengi
kujihusisha na Ngono kabla ya wakati.
Mwanadada Mkeleketwa wa Umasikini kuwa siyo chanzo cha Ngono
kwa vijana Simfya akizungumza kwa jazba alipokuwa akichangia Mada hiyo.
Mratibu Mwandamizi wa SATF Nelson Rutabanzibwa akifafanua
Jambo wakati alipokuwa akiwapongeza wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Hombolo
kutokana na kuigiza kwa ufanisi igizo lililoonyesha makundi kuwa chanzo cha
mimba na kufukuzwa shule.
Ofisa wa kujitolea katika Utekelezaji wa Mradi wa Asasi ya
Huruma Women Group [HWG] Anjelo Lukas akichangia wakati Malumbano ya hoja juu
ya umasikini kuwa chanzo cha vijana wengi kujiingiza kwe ngono kabla ya wakati.
Walimu wa Shule hizo waliohuzuria Ukumbini hapo Waifuatili
wakifuatilia kwa karibu michango mbali mbali ya wanafunzi kwenye mgongano
huo wa mawazo ambapo mengi yalichangiwa kuhusu umasikini kuwa chanzo cha vijana
wengi kujiingiza kwenye ngono mapema.
Makundi haya ya wanafunzi wakiingia kwenye ukumbi wa Dodoma
Sekondari walipohudhuria mgongano wa mawazo kuhusu umasiki kuwa chanzo cha
Ngono za mapema kwa vijana, ulioandaliwa na Asasi ya Huruma Women Group chini
ya Social Action Trast Fund inayojihusisha na Mradi wa Binti Simama Imara.
[PICHA NA
JAHN BANDA]
No comments:
Post a Comment