Friday, July 5, 2013

UKIFIKA DODOMA NA GARI KUBWA UWE MAKINI NA KAMA MGENI ULIZA NJIA ZA KUPITA YASIKUKUTE HAYA.

Wafanya biashara wa soko kuu la majengo wakiliangalia Roli la mizigo lililofungwa minyororo nje ya soko hilo na wafanyakazi wa manispaa ya Dodoma kwa madai ya  Magali yenye uzito wa zaidi ya tani 10 kutoruhusiwa kuingia mjini ili kuepusha uharibifu wa barabara pamoja na maelekezo ya magali yenye uzito huo kuelekezwa njia za kuingilia sokoni hapo.

No comments:

Post a Comment