Sunday, July 21, 2013

SHEKH WA MSIKITI WA AHMADIYYA GHULAM MURTAZA ATOA MSAADA KWA WAJANE NA YATIMA MKOANI DODOMA WENYE THAMANI YA TSH 1.5 MILIONI KWAAJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

 Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Leph Gembe akimkabidhi Madaftali Mtoto Sablina Jeremia [5] anayesoma Darasa la Awali  katika shule ya Uhuru manispaa ya Dodoma, wakati alipokabidhi msaada uliyotolewa na Shekh Ghulam Murtaza kwa wajane na yatima
 msaada ukitolewa
Mkuu wa Wilaya Ya Dodoma Mjini Leph Gembe Akimkabidhi Mmoja wa wajane wasiyojeweza unga wa semba na Sukari kama sadaka ya Mfungo wa Ramadhani toka kwa Shekh wa Msikiti wa Ahmadiyya Ghulam Murtaza  anayeshudia Kushoto na kulia Diwani wa kata ya viwandani Jaffari Mwanyemba.

PICHA NA JOHN BANDA

No comments:

Post a Comment