Terethia
Fidelis aliyebeba mtoto mgongoni akisindikizwa na umati wa watu toka ofisi ya
mkuu wa mtaa alipokuwa akihijiwa kuhusu tuhuma yake ya kumpiga, kumpasua
kichwani na kumng'ata na meno mgongoni mtoto wake Magge Fred 8.
Mtuhumiwa
Theresia Fidelis akipanda Kwenye gali la polisi baada ya kutuhumiwa kumpiga,
kumpasua kichwa na kung'ata kwa meno Mtoto wa Magge Fred 8 mwanafunzi wa Darasa
la pili Mnadani Dodoma.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Karume kata ya mnadani manispaa ya Dodoma Matwiga Kyata akionyesha moja ya majeraha ya kichwani na Mgongoni, aliyojeruhiwa mtoto MaggE Fred 8, kipogo hicho kinadaiwa kufanywa na mama yake mzazi.
[PICHA NA JOHN BANDA]
No comments:
Post a Comment