Bango lajieleza
Nnape Nnauye akiwa na wadau
Wagunge wapenzi wa Simba wakipiga jalamba
Profesa Maji Marefu akiongoza wabunge wapenzi wa Simba
Wabunge wapenzi wa Simba
Mwigulu Mchemba na skafu yake akiwa na wabunge wapenzi wa Yanga
Halima Mdee (kati mbele, bukta nyeusi) akiongoza kikosi cha wabunge wapenzi wa Yanga
Kikosi kazi cha wabunge wapenzi wa Yanga
Mwandaaji wa Tamasha la Matumaini akisema machache
JK akiwaasa Watanzania wasidanganyike na watu wanaotaka
JK akijiandaa kupiga filimbi kuanzisha mechi ya wabunge wpenzi wa Yanga na Simba
JK akiwa refarii akihesabu wachezaji kabla ya kuanzisha mechi
JK akiaga baada ya kuanzisha mpambano huo
JK akikaribishwa na mwandaaji Eric Shigongo. Kati ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara
JK
akiingia uwanja wa Taifa akiongozana na Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Eric Shigongo
JK akiwa meza kuu
Mwandaaji wa tamasha Eric Shigongo akiongea machache
JK akimpongeza Eric Shigongo kwa hotuba nzuri
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akimkaribisha JK kutoa hotuba yake
Tamasha la Matumani Oye!
JK akiongea na kadamnasi
JK akiongea na kadamnasi
JK akipeana mikono na kipa wa zamani Yanga na Taifa Stars Peter Manyika ambaye sasa ni msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie
JK akisalimiana na kipa (wa kweli) wa Yanga Barthez
JK akiingia uwanjani
JK akilakiwa na refa Othman Kazi
JK akiweka saini katika mpira utaochezewa
JK akitambulishwa waamuzi
JK akisalimiana na wabunge wa Yanga. Huyu ni Esther Bulaya
JK akisalimiana na mshambuliaji hatari wa yanga Halima Mdee
JK akisalimiana na nahodha wa Simba Amos Makala
JK akisalimiana na mchezaji wa kulipwa wa wabunge toka Nzega, Dkt Hamisi Kigwangalla
JK akisalimiana na mshambukliaji hatari wa Simba William Ngeleja
JK akiendelea kusalimia wabunge wana Simba
JK akisalimiana na beki tatu wa wabunge wa Simba Joshua Nassari
Haya waheshimiwa... mchezo mwema...
Nyimbo ya Taifa ikipigwa, kila mtu mguu sawa
Wimbo wa Taifa
JK akipungia umati unaomshangilia kwa nguvu
No comments:
Post a Comment