Mkuu wa wilaya ya
Dodoma mjini Leph Gembe akimkabidhi Mwenyekiti wa kijiji cha mkoyo Daudi
kamunya kadi ya kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii CHF iliyoboreshwa wakati wa
uzinduzi wa mfuko huo uliofanyika katika kijiji cha Homboro Bwawani.
Kikundi cha Changamoto
toka kijiji cha Zepisa kikitumbuiza kwa kila mmoja kupiga ngoma mbili kwa
ustadi mkubwa, kwenye uzinduzi wa mfuko wa Afya ya jamii CHF iliyoboreshwa
uliofanyika katika kijiji cha Homboro manispaa ya Daodoma.
PICHA NA JOHN BANDA
PICHA NA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment