Mjumbe
wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akisalimiana na wajumbe wa UVCCM mkoa wa
Mbeya na pembeni yake ni Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Aman Kajuna.
MNEC
UVCCM Taifa Jerry Silaa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa
UVCCM mkoa wa Mbeya. Kushoto ni Aman Kajuna mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa
Mbeya.
Jerry Silaa akigawa kadi za CCM viwanja vya Nzovwe Jijini Mbeya leo.
.
No comments:
Post a Comment