Sunday, November 10, 2013

MFANYA BIASHARA KARLIM AZIZ BHANJI APOKEA CHETI CHA HESHIMA KUTOKA TRA KWA ULIPAJI BORA WA KODI NA KUCHANGIA PATO LA TAIFA KWA KIASI KUKUBWA KATIKA SIKU YA KILELE CHA MLIPA KODI AMBAPO KIMKOA ILIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA NYERERE SQUARE MJINI DODOMA.

Mkuu wa mkopa wa Dodoma Drk Rehema Nchimbi akimkabidhi cheti
Mfanyabiashara anayemiliki vituo kadha vya mafuta Karlim  Azizi Banji,
katika maadhimisho ya kilele cha siku ya mlipa kodi Nchini cheti hicho
kilitolewa na mamraka ya mapato mkoani kamai kielelezo cha kulipa kodi
anayechangia pato la taifa.



No comments:

Post a Comment