![]() |
Askari polisi wakiwa wamemkamata dereva taxi aliyesababisha ajali |
![]() |
mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia akimtazama mmoja kati ya majeruhi waligongwa na gari asubuhi hui wakiwa katika mazoezi |


Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa dakika tatu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa samora
Hata hivyo katika ajali hiyo iliyosababishwa na uzembe wa dereva
aliyekaidi amri ya askari wa usalama barabarani ambao walisimamisha gari
hilo lililokuwa likitoka mwelekeo mmoja na wafanya mazoezi hao
Majeruhi hao wamepata michubuko kiasi mwilini huku mkuu wa mkoa ambae
alikuwa karibu na majeruhi huyo hakuguswa kabisa na gari hilo japo
alikuwa karibu na majeruhi hao
Majeruhi wamekimbizwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa
Habari kamili itakujia hivi punde tunaomba radhi kwa picha zisizo kuwa na ubora
No comments:
Post a Comment