BREAKING NEEEEWZZ!!! SHEIKH PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE MWAKA MMOJA, WENZAKE 49 WAACHIWA HURU
HABARI
zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, leo imesoma hukumu ya kesi iliyokuwa
ikimkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, na kumhukumu kifungo cha nje cha Mwaka mmoja huku wenzake 49, wakiachiwa huru.
No comments:
Post a Comment