Watu wakiuangalia mwili wa mtu ambaye
hakufahamika jina jina lake baada kugongwa na gari lisilofahamika na kufa papo hapo,
katika eneo la bohari ya mkoa kati ya bunge na kituo cha mabasi yaendayo
mikoani,barabara ya morogolo Dodoma
polisi wa usalama barabarani wakisaidiana na wananchi
kuupakia mwili wa mtu aliyekutwa amegogwa na kufa papo hapo na gari ambalohalikujulikana baada ya kukimbia katika barabara ya morogolo
Dodomakaribu na jengo la bunge la Tanzania.
PICHA NA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment