Saturday, December 14, 2013

MASHINDANO YA MICHEZO YA VYUO VIKUU TANZANIA 2013 YAMEANZA MJINI DODOMA, MKUU WA MKOA DODOMA AWAASA WANAVYUO KUWA MICHEZO KWASASA NI SEKTA YENYE KUZALISHA UTAJIRI MKUBWA NCHINI NA KIMATAIFA


Sehemu ya Wanamichezo kutoka chuo kikuu cha Daresalaam wakishangilia ufunguzi wa masnhindano ya michezo ya vyuo vikuu Tanzania yaliyoanza Desemba 12 mjini Dodoma, michezo hiyo inaandaliwa na jumuiya/taasisi ya michezo ya vyuo vikuu Tanzania (TUSA ), jumla ya vyuo vikuu 16hapa nchini vinashiriki mashindano huyo
Wanmichezo wa chuo kikuu chaDodoma wakiserebuka kwaito kushangilia hotuba ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma (hayuko Pichani) wakati akifungua mashindano ya Wanamichezo ya vyuo vikuu hapa nchini yaliyoanza Desemba 2 kwenye viwanja vya michezo vya chuo kikuu chaDodoma, ,jumla ya vyuo vikuuyanafanyikia 16 hapa nchini vinashiriki mashindano hayo.

Wanafunzi wachezaji kutoka vyuo vikuu 16 hapa nchini wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa maandamano wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu Tanzania yaliyoanza Desemba 12 kwenye viwanja vya michezo vya chuo kikuu chaDodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitoa hotuba ya ufunguzi wa mashindano ya michezo ya Vyuo vikuu2013 hapa nchini ambapo amewataka viwanja wasomi kutambua kuwa kwa sasa michezo ni moja ya sekta zinazoongoza kwa kuingiza kipato na utajiri kitaifa na kimataifa, vilevile aliwataka viwanja hao wanachuo kuitumia michezo kujenga ushirikiano kudumisha amani na utulivu. Mashindano hayo yanafanyikia mjini Dodoma jumla ya Vyuo vikuu 16 hapa nchini vinashiriki.Mashindano

No comments:

Post a Comment